Waithaka Mwangi aliyekuwa Gavana wa Nyandarua mashakani

0
796
  • Aliyekuwa Gavana wa Nyandarua ahojiwa hivi leo katika korti ya Nyeri .

Waithaka Mwangi aliyekuwa Gavana wa Nyandarua amepatikana na kesi ya kujibu baada ya kupatikana na kosa ya kutumia mamlaka yake ya kazi vibaya.

Waithaka Mwangi pamoja na Grace Wanjiru Gitonga aliyekuwa ameshikilia wadhifa ya maji, wawili hao wamepatikana na kesi za kujibu mbele ya Korti ya Nyeri.

Baadi za kesi ambazo Waithaka amepatikana nazo ni Kosa ya kuamrisha miradi isiyo ya Kaunti iliyotumia zaidi ya Millioni 50.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.