Raila Atajua Hajui?

0
1217

Raila atajua hajui? Amefahamika kuwa shupavu kwenye kauli zake, anao wafuasi wengi na zaidi wanaongezeka kila uchao. Ukweli ni kwamaba watu wanasahau kwa haraka lakini si kila mwendo na tendo Raila anao tenda watu watasahau. duru sinasema kuwa atakaporejea kutoka n’gambo leo hii 17/11/2017. Ata karibishwa kutokea uwanja wa ndege, halaiki ya watu wataudhuria kurudi kwake kutoka n’gambo. Lakini pigo kuu likatuwa ni, je askari watavuruga makaribisho yake Raila? Ukweli ni kwamaba pigo kuu litaweza kuwa shangaza wana Jubilee kwani Raila si jina tu ila ni ngome ya wengi nchini na ata ngambo. Kama Muda wakuzungumza kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Mheshimiwa Raila Odinga umeshapita basi wengi wa wananchi watabaki kueleza amani kama hadithi kwa vizazi vijaazo, huku winguu la taharuki likitanda kila muda. Kabla ya uchaguzi wa Uhuru Kenyatta kutangazwa mwezi wa Agosti 2017 wana wa NASA Seneta James Orengo na Musalia Mudavadi walisikika kusema kutakuwa na madhara kwa kumtangaza Uhuru kama Rais, wenda ikwa madhara hayo ndiyo yameanza. Raila atajua hajui?

Na je Canaan ni hakika ama ni ndoto baado? Kwakweli wana jubilee watajua hawajui kwani ukweli unadhirika wazi kila mara kwa mkondo nchi utakao elekea. Linalostajabisha ni kuwa Kenya linaelekea wapi na umechukua mwelekeo upi?  Wanaanchi wakiwa wanasubiri kwa utaratibu baada ya uchakuzi wa urais kurudiwa na baado mambo mengi yanazidi kuchanganuliwa  kama Rais Uhuru Kenyatta ataapishwa kama Rais tena ama watu wataenda uchaguzi mwingine.

Wana NASA walisha badili nia kama jeshi la “ kutata” Kuepuka na ununuzi wa bidah kaadha, huku wengi kwa maaoni wakisema hawaoni kama kutakuwa na uchaguzi wa urais hivi karibuni. Walakini, wachanganuzi wa siasa wanahofia na kutofautiana na maoni za wengine kususia kuwa Mbunge wa Homa Bay Peter Kaluma alipeleka stakabaadhi zake za hoja siku ya jumatatu 13 2017 Novemba. Kuwa Kenya inapaswa kugawanywa, kutengwa na wailaya 7 kwa 40 . Raila aongoze counti 40 na Rais Uhuru kuongoza 7. Jambo hili limewatia watu joto huku hisia tofauti tofauti zikichipuka kila uchao. Lakini swali ni je Raila ajajua hajui?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.