NHIF Super Cover Bima Ya Afya Yako

0
1411
picha kwa hisani ya pewa.co.ke

NHIF super cover ni bima ya afya yako ambayo imeboreshwa kuliko ya hao awali. Tangia mwaka wa 1966 hadi 2016, bima hii ya afya imesherekea miaka 50 na  hivi sasa NHIF Super cover  bima ya afya imezidiwa na wezekano la kukufaidi wewe na familia yako kwa jumla ndio maana ikaitwa super cover. Kumaanisha  kuboreshwa zaidi kuliko la hapo awali. Waweza kuwa wajiuliza limeboreshwa vipi ama ni vipi limekuwa nzuri kuliko la hapo awali. Limeporeshwa kwa

Je nawezaje kujisajili Bima hii ya NHIF?

Kujisajili waweza kutembelea ofisi za huduma centre au ofisi za NHIF ziliko karibu nawe au jisajili hapa 

Nahitaji kulipa pesa ngapi kwa mwezi?

Shilingi 18 au 20 kwa siku unapata kulipia Bima ya afya. Kwa kuweka shilingi 20 kila siku kwa akiba yako nyumbani kisha ikiitimia shilling 600 kwa siku thelathini. Utaweza kujilipia bima yako ka hospitali kwa mwezi na kubakia shilingi 100 yakuongeza .

Ni pesa ngapi kila mwezi niafaa nilipe?

Mtu amaye anajikimu kimaisha kama mtu wa biashara ama umejiajiri, kiwango cha kujilipia bima yako ya afya ni shilingi 500 kwa mwezi.

Soma pia : NHIF Super Cover 

Watu wangapi kwa familia bima hii inawasimamia?

Bima hii Ni bima yako na famila, kumaanisha wewe, mkewako and watoto wale wasiozidi miaka 18. Mtu ambaye ako na 18 anaweza kujisimamilia, kwakuwa ni mtu mzima ambaye anahitaki kuwa na kitambulisho.

Mtu anapaswa kulipa aje bima ya afya hii?

Mtu anaweza kulipa kwa njia mbili tu:

  • Kwa  kujilipia
  • Kwa kukatwa kwa mshahara kiwa mwezi kwa walewaneajiriwa.

Kwa kutumia simu – kwa kutumia simu yako kama akiba kila mwezi unaweza kulipa 500/= kwa kutumia rununu yako

Jinsi ya kulipa kwakutumia rununu au simu ya mkono

Hakikisha una fedha zakutosha 530/=

Enda kwa  M-pesa

  • Lipa na M-pesa
  • Nambari la kulipia Nambari lako la NHIF
  • Weka nambari la biashara hii 200222
  • Kisha pofya/bonyeza (ok)
  • Account weka nambari la kitambulisho
  • Idadi ya pesa unazozilipa kwa mfano 530
  • Kisha weka nambari lako la siri la M-pesa
  • Kisha finya sawa au (ok)

Utapata ujumbe kutoka NHIF yakuwa umeshalipa. na kama ujafwatilia magizo vizuri pia utaelezwa na itabidi ufwatilie magizo.

Je naweza fanyaje kama akaunti yangu imekosa kufungwa kwa muda wa mwaka mmoja?

Uta weza kulipia 500 kisha card yako itaweza kufunguliwa nautaweza kutumia kadi yako ya NHIF baada ya siku 60.

Kwa magizo mengi tafadhali uliza maswali hapa chini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.