Mwigizaji Filamu Elizabeth Michael Lulu kuwachiliwa huru kutoka gerezani yakera wengi

0
1642
Elizabeth Michael Lulu photo

Mwigizaji fimalu, Elizabeth Michael Lulu, abadlilishiwa kifunguo na kuwachwa huru Tanzania, baada ya kufungwa kwa makosa ya kumuua bila kusudia msanii mwenzake Steven Kanumba.

Elizabeth Michael Lulu ni mchezaji filamu ni miongoni mwa waliofaidi kutokana na msamaha wa Rais kwa walie waliomo gerezani.

Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, Novemba mwaka jana baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kusudia msanii mwenzake Steven Kanuamba.

PENDA KUJUA: Hivi Ndivyo Kidosho Alivyomuaibisha Padre

Idara ya magereza nchini Tanzani kupitia taarifa imesema Lulu amebadilishwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzani jijini Dar es Salaam.Taarifa ya idara hiyo imesema mfungwa huyo aliachiliwa kutoka gerezani na sasa yuko huru. walakini, kutolewa kwake Elizabeth Michael Lulu, kumeangazia matukio tofauti miongoni mwa wa Dar es Salaam.

“Kutokana na kukidhi vigezo vya kisheria na kuonyesha tabia njema akiwa gerezani.” alisema Jaji.

[PENDA KUJUA PIA]: Ukweli na uwongo ya kuuwawa kwa msanii Kanumba (Kwa lugha ya kimombo)

Mama Kanumba anasononeshwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela mapema. Mama mzazi wa aliyekuwa muigizaji wa Bongo movie Steven Kanumba. Florah Mtegoa maarufu kama Mama Kanumba, almeeleza machungu yake baada ya Lulu kuachiwa gerezani jana .

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.