Kalameni Kumtema Mpenzi kwa sababu ya  Asali

0
1179
kalameni kulengwa asali

Katika kaunit ya Embu  kijiji cha Iwanjau  wawili waliokuwa wakichumbiana kwa muda wa miezi sita wameleta tabasamu kwa waakazi wa kaunti hilo. Kutokana na mokezi wetu wawili hao walukosana ghafla tu walipokubaliana kuwa kalameni Yule hatawahi onja asali kwa uchumab wao ila hadi watakao funga pingu za maisha.

SOMA PIA: Binti Atoa Masharti Zakuolewa kwake

Lakini mambo yaligeuka wakati Kalameni yule aliweza kuuguwa kisha akampigia mpenzi wake simu aje angalahu kumtayarishia chakula kwani alikuwa huko kitandanai. Inasemekana  yakuwa mara tu kidosho alipopata kupokea simu hiyo alijuwa kuwa polo anataka kulionja tunda kisha alimpigia nakumkataza yakuwa hatoweza kuja. Ndipo kijana alimjibu kwa ujumbe mfupi  “wewe ni mtu wa roho mbaya vipi aja huwezi kuja kunitayarishia chakula na ninauguua? Unajifanya mtakatifu kwani wewe ni Yesu? Endelea kuweka kiporo lako la utakatifu. Nenda” Tangi hapo kidosho huyo alifahamu kuwa lake na polo Yule ulikuwa ni historia.

SOMA PIA: NHIF Super Cover Bima Ya Afya Yako

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.