Hivi Ndivyo Kidosho Alivyomuaibisha Padre

0
951
Picha kwa hisani ya travelstar Padre Kudinnda salamu za kidosho

Padre Tala, Kangundo

Mapenzi ni jambo usiweze kucheza nalo linaweza kukutia tabani ama mashakani au pia ukutia aibu tele. Humu nchini kidosho moja aliweza kumuaibisha kasisi. Padre moja alikuwa amemzimia mwanadada moja kwa mapenzi, walakini pilkapilka za kimaisha hazikuwawezesha kuwa pamoja. Inasemekana kuwa Padre alikuwa amuowe kidosho moja kule Tala .

Baada ya miaka na mikaka kadhaa, wawili hao waliweza kupatana hivi majuzi njiani. Padre akiwa an waumini wengine wakiwa zao njiani tu Padre aliweza kuwasalimu marafiki wa mrembo yule walio kuwa naye njiani.Waumini wale wakafanya vivo hivyo lakini lakustajabisha ni kuwa Padre alipodinda kumsalimu yule kidosho, iliwabidi waumini kumuliza “Padre mbona kudinda kumsalimu huyu mwana dada?” mmoja wa wale waumini aliuliza.

“Hamna shida sisi twende zetu.” Alijibu Padre Yule, huku akiwa anaanza kutoka. Aliweza kumsimamisha muhubiri yule, kidosho yule kwa maneno yake ya kweli. “Mzijali nyie huyu askofu amedinda kunisalimu kwasababu alikuwa ananichumbia hapo awali lakini nilimkata. Mboa wewe una machungu hivyo na tyari ushaowa na unafamilai?”

Maneno yale yakawa yanamchoma askofu Yule, ilimbidi afungue roho akasema “Mrembo huyo alinikosea kwani wakati nilikuwa namchumbia, nilitumia pesa zangu nyingi sana kisha alinitema na kuniwacha hivyo.”

Waumini wale waliweza kumuunga mwanadada yule yakuwa ni kweli muhubiri amesha oa na mauchungu ni za nini? “Wacha ulikuwa unataka tu kunitumia , e bwana wee mapenzi si pesa. Inaonekana bado unanitamani walakini mboa usitosheke na mkeo na familia yako” alisema kidosho yule.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.