Babu Owino amsalimu Rais Uhuru leo bungeni

0
1067
Babu Owino amsalimu Rais Uhuru leo bungeni

Hotuba ya Rais Uhuru Kenyatta leo bungeni imetowa hisia tofauti na kwauzaidi kuweza kuwaunganisha wabunge wote. Mara tu wakati Rais alikuwa mbali na kumalizia hotuba yake, hii leo amegusia kudumisha amani na watu wasalimiane.

Ndiposa Raila alielekeza mkono wake kule Babu Owino alikokuwa ameketi, Babu Owino alimpa mkono wa heri huku wakiwa wantabasamu. Hotuba ya Rais, alikiwa bungeni ameguzia pembe nne  za mradi wake la muhimu kwanza kabisa bima ya afya kuwafikia wakenya wote kwa jumla.

Amezungumzia kuwekwa akiba maalum la gala la chakual, mwanzo akirejelea kabisa jinsi wakenya wameadhirika na mafuriko nchini.

SOMA: NHIF Super Cover Bima Ya Afya Yako

Amewasifu pia Wanajeshi jinsi wamedumisha amani Somalia an kuweka Kenya kwenye ramani ya amani, paomoja na nchi ya Somalia. Kenya imepada sifa kede kede kwa ushupavu wa jeshi wake. Rais amesema yakuua wakenya walikwenda debeni mara mbili na hilo ni jambu sila kawaida-akawapongeza, amewasifia IEBC na akamsifu kinara wa ODM Raila Odinga kwa kuwa shujaa wa amani, walipo weza kujihusisha na umoja wa nchi. Babu Owino alikuwa anatabasamu na kuweka tofauti zao kando wanapo endeleza umoja wa nchi.

Aliweza kuzungumza na mwana habari wa KTN, Sofia Wanuna na Babu Owino alipoulizwa kuhusu kumpongeza Rais kwa ala ya kumi alimpa Rais 10:10 kwa hotuba yake.

Rais alisema kuwa inabidi wakenya wote wafwate mkondo wake na Raila. Amezidi kupongeza miradi ya serikali yake-jinis imepata kuendelea. Rais amesema kuanzia sasa maisha ya wakenya iweze kuendelea jinsi invyo faa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.