Baada Ya Miaka Mitatu Ataka Turudiane

1
1115

Zuhura ni msichana ambaye alipendana na rafiki yake wa kiume, tangia mwaka wa 2015 Novemba hadi 2017 Novemba aliweza kupata simu ya rafiki yake huyo wa kitambo wa kiume . Waliwachana baada ya kutambua yakua mwanamume aliyedhani ndiye kumbe siye. Alipigwa n bumbwazi alipoenda kumtembelea mpenziwe, la kustajabisha alimpata kike kwenye nyumaba ya mpezi wake waliokuwa wakichumbiana kwa muda naye. Zuhura alishangazwa kumpata mpenzi wake kwenye chumba cha kulala. Kufahamika kuwa walikuwa wamesha maliza awamu ya kwanza.

Jasho na machozi lilimtiririka huku akilia kwe kwe kwe. Ilikua kizaza na yule dada mwingine alichukua leso lake na mbio, miguu niponye akithani kuwa mwenye nyumba amewasili. Mwanamume mwenyewe aliketi kwenye kitanda chumbani akiwa amekosa lakusema. “Mbona hukunieleza kuwa ushapata mwingine?’ Zuhura aliuliza kwa uchungu.

Baada ya kimya kirefu “Samahani naomba msamaha. Kilichonifanya nitende kitendo hicho sifahamu hata” Alizidi kujitetea mwanaume yule.

Zuhura akuweza kuvumilia yale, kwani machungu yalikuwa yanazidi kubisha hodi rohoni mwake. Kisha naye pia kaenda zake.

Hivi majuzi mwanamume huyo kampigia simu kwakuwa ywamtaka arudi. Nilipomuliza alisema yakuwa. “Mapenzi ya mwanamume yule ulikuwa mapenzi ambao ajawahi kupata mahali pengine. Na mapenzi kwaweli alishakwisha mpatia mwanamume yule yote.

Mwanamume Yule baada ya kuoa na kuwachana na mke wake sasa hivi anasema ameamua bado yuanipenda. Akazidi kuninongonezea Zuhura.

Sasa nifanyeje kwakuwa naminampenda?

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.